Friday, 18 December 2015

Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao.

Serikali yatangaza kuanzia Januari 2016 wasanii watalipwa na Televisheni na vituo vya redio vitakavyokuwa vinatumia nyimbo zao.

-Hatua hiyo ilifikiwa kwa ushirikiano wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Wizara ya Habari, Michezo na Sanaa.


Kuanzia mwakani wasanii watalipwa na radio na TV kwa nyimbo zao au tamthiliya kuonyeshwa. 
Hii imefikiwa leo kwa ushirikiano wa Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya Habari na Sanaa.

Na bado mambo mazuri yanaandaliwa kwa wasanii ili wafaidike na kazi zao kwenye kila sehemu zitakapotumika.

Magufuli aliwaambia wasanii sitowatumia ila nitawasaidia. Anaanza kutimiza mambo yake.

             ==HONGERA SANA Mh,RAIS J.P.MAGUFULI"'''''''''''''''''''HAPA KAZI TU"===

No comments: