Thursday, 7 January 2016

Profesa Jay Ashinda Kesi ya Ubunge MIKUMI-MOROGORO.

Mahakama imetupilia mbali kesi hiyo na kukubaliana na hoja za mapingamizi ya kisheria yaliyowekwa na jopo la mawakili wa msanii huyo – Tundu Lissu na John Mallya.
Mahakama pia imemuamuru mlalamikaji Jonas Nkya ambaye walikuwa wakigombea pamoja nafasi ya ubunge wa jimbo la Mikumi alipe gharama zote za kesi na usumbufu.
Chanzo-EATV.

No comments: