Shein amesema mgogoro wa kisiasa ulikuwa
utatuliwe kwa njia za mazungumzo lakini kiongozi wa CUF Maalim Seif
Sharif Hamad aliyeomba mazungumzo ya maridhiano kabla hayajamaliza yeye
alienda kutoa siri za vikao kwa waandishi wa habari Dar es saalam na
baadae kuandika barua ya kujitoa katika mazungumzo hayo.
Chanzo: Mazrui Media
Chanzo: Mazrui Media

No comments:
Post a Comment