Alikiba ni mwimbaji staa wa bongofleva ambaye kwa siku
kadhaa zilizopita amewafanya Watanzania wawe juujuu kusikilizia single
yake mpya ya ‘Lupela‘ ambayo rasmi ameiachia jana usiku February 4 2016 kwenye party iliyofanyika kwenye hoteli iliyo pembeni mwa bahari ya hindi…. itazame hii video hapa chini.
No comments:
Post a Comment