Friday, 29 April 2016

FAIZA KUJA NA BIASHARA YA KUUZA CHUPI ZAKUOGELEA.{SWIMMING COST)


Msanii wa filamu ambaye haishi vituko, Faiza Ally ameamua kuja kivingine kwa kuanzisha biashara mpya ya chupi za kuogolea.
Kupitia ukurasa wa instagram, Faiza ameandika: Haya wapenzi wangu mimi#wapenzi wa beach# nawaletea chupi nzuri za kuogelea #swimming dress za wakubwa #watoto #wanaume na wanawake kaeni tayari kupendeza # beach mwenzie vichupi ama vepe 😄😅 #Look good#feel good #life is good Hivi karibuni mwanadada huyo ameachia filamu yake mpya iitwayo, ‘Baby Mama Drama’.

No comments: