Friday, 8 April 2016

MBUNGE VITI MAALUM{CHADEMA}AFARIKI DUNIA.

Marehemu Christina Lissu Mughwai
#TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Christina Lissu Mughwai (ambaye ni dada wa Tundu Lissu) amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya saratani tangu mwaka jana, na alikuwa mbunge katika bunge la 10.

R.I.P Christina

No comments: