Friday, 8 April 2016

MSANII BARAKAH DA PRINCE AWEKA BAYANA MAHUSIANO YAKE KIMAPENZI NA MSANII MWENZIE NAJMA"NAJ"


Habari za uhakika zilizotufikia ni kwamba mwanamuziki wa bongo flava hapa nchini Baraka De Prince amemtambulisha rasmi mke wake mtarajiwa Najma kwa wazazi wake huko jiji Mwanza. 

Hongera Baraka kwa maamuzi ya kiutu uzima.

No comments: