-Mvua hiyo kubwa imenyesha kwa siku mbili mfululizo
Zaidi ya kaya 2200 katika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hazina mahala pa kuishi, wala chakula na mahitaji mengine muhimu ya kibinadamu.
Maafa hayo yamesababishwa na mvua kubwa zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo na kusababisha maafa makubwa ya vifo, pia uharibifu wa mali na mashamba

No comments:
Post a Comment