Kwa saa kadhaa zimeenea taarifa za mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Diamond mwenyewe kwenye Instagram akionekana katoboa pua. Ukweli ukoje? …
Kufuatia PICHA hiyo aliyoipost Diamond Instagram Msanii swahiba wake Nay Wamitego alipost post ya kumtania kwa maneno yaliyosomeka kama ifuatavyo........
naytrueboyBaba Tiffah you look mmmwaaah😍😍, @diamondplatnumz umenogaaaaa mwananguuuuuuuuuu..!! Hukoseagi yaniiii😎😎.! Mapovuuuuuuuuu sasaaaaa😂😂😂
#ShikaAdabuYakoooo
Maneno ya Meneja Sallam yanamaanisha kwamba sio kweli Diamond katoboa pua, ni mchezo tu na baada ya hiyo picha ya kutoboa pua Diamond aliweka picha nyingine inayoonekana hapa chini akiwa fresh kabisa watu wasiendelee kupanic.



No comments:
Post a Comment