VIDEO: Mgombea Urais Marekani Donald Trump kachekwa kwa kushindwa kutamka Tanzania
Mgombea Urais kupitia Republican Marekani Donald Trump anazo headlines nyingine za kushindwa kutamka jina la Tanzania kwenye hotuba yake kuhusu mambo ya nje ya Marekani alipokua akizungumzia ugaidi wa balozi za Marekani Tanzania na Kenya kulipuliwa.


No comments:
Post a Comment