Thursday, 12 May 2016

Ali Kiba Ft M.I ‘Aje’,


Hii ni kazi mpya ya Msanii Alikiba akiwa ameifanya na rapa MI kutoka Nigeria,
Wimbo huu umepewa jina Aje.
Pia Kwenye wimbo huu ametajwa Wema Sepetu na Lulu Micheal toka kiwanda cha movie nchini'Bongo Movie'.
Kingine ni jinsi Mnigeria M.I alivyoongea Kiswahili kwenye wimbo Huu.
Msanii Ali Kiba yuko chini ya lebel ya Rockstar  pamoja na Msanii wa kike Lady Jaydee'Jide',

ISIKILIZE HAPA-

No comments: