Thursday, 5 May 2016

Baada ya Wema kulala Hotelini na alichokiacha ndani ya Chumba hicho…


Wema Sepetu amekutana na hizi tuhuma za kuacha Chumba alicholala kwenye Hoteli katika hali isiyo salama, kama hukupata time ya kuisikiliza hii usijali nimerecord Full stori na utaipata hapa  >>>’Kusema ukweli taarifa hizo mimi kama meneja wa Wema Sepetu sina halafu kwa mimi ninachojua ni kuwa haiwezekani hotel wakatoa taarifa ya mteja wao‘:- Martin Kadinda Meneja wa Wema Sepetu
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA FULL STORI PIA USISAHAU KUNIACHIA COMMENT YAKO …

No comments: