Saturday, 7 May 2016

WEMA SEPETU GIVING BACK TO HER COMMUINTY


Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu nchini Madame Wema Sepetu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu.
Tazama picha hizo chini.







No comments: