Thursday, 2 June 2016

PICHA-SNURA ALIVYOFUNIKA ZANZIBAR JUZI.


Msanii SNURA MUSHI aka Snura Chura juzi tarehe 31 alikuwa anashow yake pande za Zanzibar ukumbi unaitwa Chukwani Mess Club.
Show hiyo iliyopewa jina la USIKU WA CHURA unaambiwa watu walioingia walikuwa wengi mpaka wengine wakanyimwa kuingia ndani na kukosa kuiona show yake kali.
Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa na kupostiwa kwenye account yake ya Instagram.




No comments: