![]() |
Mfalme Abdullah wa Jordan ni miongoni mwa watakaohudhuria mazishi ya Ali. |
Dalai Lama alialikwa lakini alituma taarifa kwamba hatoweza kuhudhuria. Sala itajumuisha kumbukumbu ya umma katika ukumbi wa michezo ambao unahudumia watu 22,000.
![]() |
| Rais wa Uturuki, Tayyip Erdogan pia atahudhuria mazishi ya Ali. |
Kutakuwepo pia na maandamano ambayo yatapita kote kwenye mitaa ya mji.
Siku ya alhamis itakuwa mazishi ya kifamilia pamoja na sala ya ki-Islam. Gunnell alisema maandalizi mengi ya mazishi yalipangwa na Ali mwenyewe kabla ya kifo chake kilichotokea Ijumaa iliyopita akiwa na umri wa miaka 74 kufuatia mapambano ya muda mrefu kwa ugonjwa wa Parkinson.
Alisema kila kitu tunachofanya hapa kilipewa baraka na Muhammad Ali na aliomba ifanyike hivyo


No comments:
Post a Comment