Diamond ameenda studio za ‘Pacifique recordings’ zilizopo Los Angeles, Marekani kurekodi ngoma mpya. Diamond ameshea kipande cha video akiwa kwenye studio hizo akirekodi ngoma mpya, kuna uwezekano mkubwa ikawa collabo nyingine na staa wa nchini humo bwa Diamond ameenda studio za ‘Pacifique recordings’ zilizopo Los Angeles, Marekani kurekodi ngoma mpya.
Diamond ameshea kipande cha video akiwa kwenye studio hizo akirekodi ngoma mpya, kuna uwezekano mkubwa ikawa collabo nyingine na staa wa nchini humo.
Diamond alienda kwenye studio hizo muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za mchekeshaji maarufu, Kevin Hart ambapo alisema anafanya kazi na kampuni ya staa huyo ‘Hart Beat Production’ Studio za ‘Pacifique recordings’ ni studio maarufu ambazo zimewahi kutumiwa na mastaa wakubwa wa Marekani ikiwemo Beyonce, Kanye West, Ciara, 50 Cent, Busta Rhymes, Kelly Rowland, John Legend na wengine wengi.

No comments:
Post a Comment