Wednesday, 7 February 2018

DADA MGANDA ALIYEKAMATWA NA MABURUNGUTU YA DOLAR AACHIWA HURU.


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru na kumrudishia fedha zake, Winfred Busige (33), raia wa #Uganda aliyekamatwa akisafirisha fedha kiasi cha TZS bilioni 2, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JKNIA), baada ya kulipa faini ya TZS milioni 100.

No comments: