Thursday, 23 May 2013

BIFU BADO LAFUKUTA CLOUDS FM NA LADY JAY DEE

BAADA YA LADY JAY DEE KUANDAA SHOW YAKE YA KUTIMIZA KUTIMIZA MIAKA 13 YA MAISHA YAKE KIMUZIKI,SHOW AMBAYO YEYE MWENYEWE AMEKUWA AKIIZUNGUMZIA KUWA IMEPATA VIKWAZO VINGI,HASA KUTOKA KWA UONGOZI WA REDIO CLOUDS FM YA JIJINI KWA ALICHOKIDAI UONGOZI WA REDIO HIYO KUWAZUIA WASANII WALIOTAKIWA KUSHIRIKI KWENYE SHOW HIYO ITAKAYOFANYIKA MWISHO WA MWEZI HUU 31st-MAY-2013-REDIO ILIYOKUWA NA UHUSIANO MZURI SANA NA MSANII HUYO WAKATI AKIANZA SAFARI YAKE YA SANAA HII YA MUZIKI,AMBAYO IMEMFIKISHA MWAKA WA 13 TOKA AIANZE,HABARI KUTOKA NDANI YA REDIO CLOUDS ZINADAI KUWA IMEANDALIWA SHOW NYINGINE NA UONGOZI WA REDIO HIYO,SHOW ITAYOWAHUSU MIAMBA YA MUZIKI WA HIPHOP KUTOKA DAR ES SALAAM,WILAYA YA KINONDONI"KIKOSI CHA MIZINGA"-USIKU WA MIZINGA 21......
JIDE AKIWA NA MH MBUNGE WA MBEYA MJINI,JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU.

No comments: