FLAVIAN MATATA AKIWASHA MSHUMAA .
FLAVIAN MATATA AKIWA NA BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WA TUKIO HILO WAKIWASHA MISHUMAA KWA PAMOJA
FLAVIANA MATATA AKIWA NA BABAAKE ,IKUMBUKWE NIA YA FLAVIANA MATATA KUFANYA IBADA YA KUWAKUMBUKA WAHANGA NI BAADA YA YEYE KUMPOTEZA MAMA YAKE MZAZI KWENYE AJALI HIYO MWAKA 1996 ILIPOTOKEA..
No comments:
Post a Comment