MSANII WA FILAMU NA MAIGIZO NCHINI KULWA KIKUMBA a.k.a DUDE ALIYEWAHI KUTAMBA SANA KATIKA IGIZO LILILOKUWA LIKIRUSHWA NA KITUO CHA TELEVISION YA TAIFA "TBC"-BONGO DAR ES SALAAM,PAMOJA NA FILAMU NYINGI ZA KITANZANIA,AMEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI LEO ASUBUHI JIJINI DAR ES SALAAM,AKIELEZEA MKASA HUO KUPITIA ACC YAKE YA FACEBOOK "DUDE" ANASEMA UMAUTI WA MAMA YAKE UMETOKEA MARA BAADA YA HARAKATI ZA KUMPELEKA HOSPITALI KWA MATIBABU BAADA YA HALI YAKE KUWA MBAYA,KAMA PICHA INAVYOONYESHA HIVYO NDIVYO ILIVYOKUWA MUDA MFUPI
BAADA YA MZAZI WA KIKE WA MSANII HUYO KUPOTEZA MAISHA WAKATI AKIPELEKWA HOSPITALI KWA MATIBABU ZAIDI,MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI-AMEEN.
No comments:
Post a Comment