ALIYEWAHI KUWA MISS TANZANIA,MWANADADA JACKLINE NTUYABALIWE JUZI AMESHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA MPENZI WAKE,ALIYEMZALISHA MAPACHA ALIOJIFUNGUA HIVI KARIBUNI,AKIWA NA FURAHA JUU YA MPENZI WAKE HUYO KUTIMIZA MIAKA ILIYOCHINI YA KAPETI,JACKLINE NTUYABALIWE AMEITUMIA FURSA HIYO VYEMA KUMUWEKA BAYANA MZAZI MWENZIE HUYO,KATIKA TWEET ALIYOITUMA KUSHEREHEKEA SIKU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA MPENZI WAKE HUYO,TWEET INAYOMTAJA MPENZI WAKE HUYO,AMBAYE NI MFANYABIASHARA MAARUFU NA MMILIKI WA MAKAMPUNI YA IPP MEDIA BW,REGINALD MENGI KUWA NDIYE MZAZI MWENZIE,KWA MAPACHA HAO.NA NDIYE ANAYESHEREHEKEA NAYE SIKU YA KUZALIWA KWAKE,TUMEKUPATIA TWEET YAKE HIYO ISOME HAPO CHINI....
:-
No comments:
Post a Comment