Friday, 31 May 2013

HALI YA MSANII MGAZA PEMBE"M2THA P YAZIDI KUIMARIKA ZAIDI.


MSANII MGAZA PEMBE a.k.a "M2THA P"AKIWA HOSPITALINI ST HELLEN HOSPITAL{JORBERG}KATIKA HALI INAYOONYESHA MAENDELEO MAZURI KWA AFYA YAKE KUZIDI KUIMARIKA,PICHA INAYOMUONYESHA M2THA P AKIWA AMEWEZA KUFUNGUA MACHO NA KUANZA KUONGEA{PICHA KWA HISANI YA CLOUDS FM}.

No comments: