RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS. FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.

Wednesday, 22 May 2013
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI YAANZISHA TIMBWILI MTWARA.
BALAA LA KULIPULIWA MABOMU YA MACHOZI NA UPOTEVU WA AMANI,UMEENDELEA KUJITOKEZA TENA MKOANI MTWARA LEO,BAADA YA KUONA HALI KAMA HII KUTOKEA WIKI ILIYOPITA MKOANI IRINGA,HALI HII YA LEO IMETOKEA BAADA YA KUWAKILISHWA KWA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI LEO,AKIONYESHA HISIA KALI WAKATI WA KUISOMA BAJETI YA WIZARA HUSIKA LEO ASUBUHI "BOMBA LA GESI LAZIMA LITAJENGWA KUANZIA MTWARA MPAKA DAR ES SALAAM MANENO YALIYOWACHUKIZA WANA MTWARA NA KUENDELEA KUFUTA NDOTO ZAO WALIZOJIWEKEA,KWA MUJIBU WA CHANZO CHETU MABOMU HAYO YALIKUWA YAKISIKIKA MAENEO YA MAGOMENI NA SOKONI-MTWARA,HUDUMA ZA JAMII KAMA MADUKA,BAA NA USAFIRI ZIMESIMAMA NA WATU WAMEJIFUNGIA KATIKA NYUMBA ZAO,BODABODA CHACHE ZIMEONYESHA KUKOMAA KUFANYA BIASHARA,ILA KINACHOHISIWA NA RAIA NI KUMWAGIKA KWA WINGI WA MAKACHERO WA POLISI MKOANI HUMO,IKIWEMO WENGINE KUJIFANYA KUFANYA BIASHARA ZA JAMII KAMA USAFIRI ILI KUWEZA KUPELELEZA MIPANGO YA MACHAFUKO MKOANI,HABARI ZILIZOENEA KILA PANDE MKOANI HUMO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment