Thursday, 30 May 2013

MWILI WA MSANII ALBERT MANGWAIR KUWASILI NCHINI JUMAPILI-TAREHE 02 JUNE 2013

TAHARIFA ZILIZOTOLEWA NA KAKA WA MAREHEMU BW KENETH MANGWAIR ZINARIPOTI KUWA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR UTAWASILI NCHINI SIKU YA JUMAPILI,ILI KUTOA NAFASI KWA RAIA WA TANZANIA WAISHIO NCHINI AFRICA KUSINI NAO KUPATA NAFASI YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU,MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR UTAAGWA RASMI NA RAIA WA KITANZANIA NCHINI SIKU YA JUMATATU TAREHE 03rd JUNE 2013,KWENYE VIWANJA VYA LEADERS CLUB-KINONDONI NA BAADAE TARATIBU NYINGINE KUENDELEA IKIWEMO  MAZISHI..MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI AMEEN.

No comments: