Wednesday, 29 May 2013

TAHARIFA YA KIFO CHA MSANII MAHIRI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA-TANZANIA.

TAHARIFA YA AWALI JUU YA KIFO CHA MSANII ALBERT MANGWAIR "NGWAIR" TOKA KWA DJ CHOKA.
NGWAIR AKIWA NA M2THA P NCHINI AFRICA YA KUSINI WAKIPATA LUNCH MCHANA WA SIKU MOJA KABLA YA UMAUTI KUMFIKA.
RIP ALBERT MANGWAIR a.k.a NGWAIR ,HIZO HAPO CHINI NI BAADHI YA TWEET ZAKE ZA MWISHO MSANII NGWAIR AKITWEET NA FANS WAKE KUPITIA MTANDAO WA TWEETER.
KWELI YA MUNGU TUMWACHIE YEYE MWENYEWE MUWEZA ANGALIA TWEET YA SIKU ZA NYUMA TOKA KWA MSANII NGWAIR"COWBAMMA" ILIYOKUWA IKIASHIRIA KIFO CHAKE,MAY GOD REST HIM IN PEACE.
NI TAHARIFA ILIYOWASHTUA WENGI SANA BAADA YA MITANDAO MINGI KUANDIKA KIFO CHA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA{BONGO FLAVA}ALBERT MANGWEA a.k.a NGWAIR,TAHARIFA ZILIZOANZA KURUSHWA KUPITIA MITANDAO MINGI YA KIJAMII NCHINI ,WATU WA KWANZA KURIPOTI HABARI HII NI MTANGAZAJI WA RADIO CLOUDS FM YA JIJINI DAR ES SALAAM MILARD AYO KUPITIA MTANDAO WA TWEETER,PIA DJ MAARUFU ANAYESAPOTI ZAIDI MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI TANZANIA DJ CHOKA PIA ALIRIPOTI KIFO CHA MSANII ALBERT MANGWAIR PIA,TAHARIFA KUTOKA NCHINI AFRICA YA KUSINI ZINARIPOTI KUWA ,MSANII ALBERT MANGWAIR AKIWA NA RAFIKI YAKE MSANII MWENZIE M2THA P,WALIKUTWA WAMEPOTEZA FAHAMU NA KUSHINDWA KUAMKA,BAADA YA KUAMSHWA KWA MUDA BILA YA MAFANIKIO IKIWEMO KUMWAGIWA MAJI,MATOKEO AMBAYO HAYAKULETA MAFANIKIO KWA NAMNA YOYOTE,NDIPO WALIPOKIMBIZWA HOSPITALINI ST HELLEN JORBERG,KWA UANGALIZI ZAIDI,DAKTARI ALIYEWAFANYIA UCHUNGUZI WA AWALI ALIGUNDUA KUWA ALBERT MANGWAIR TAYARI ALIKUWA TAYARI A
MEKWISHA POTEZA MAISHA,NA M2THA P ALIONYESHA KUWEPO NA UHAI JAPO HALI YAKE ILIKUWA MBAYA SANA NA HAJITAMBUI KABISA,HAPO NDIPO UMOJA WA WATANZANIA WAISHIO NCHINI AFRICA YA KUSINI WALIPOKUTANA NA KUANZA KUTUMA TAHARIFA NCHINI KWA NDUGU NA JAMAA WA KARIBU IKIWEMO MARAFIKI JUU YA KIFO CHA MSANII "NGWAIR".,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI AMEEN...

No comments: