Wednesday, 5 June 2013

AFANDE SELE YUKO TAYARI KUUPOKEA MSIBA MOROGORO.

AFANDE SELE AKIWA NA MAMA YAKE ALBERT MANGWAIR NYUMBANI KWA KINA ALBERT MANGWAIR TAYARI KABISA KUUPOKEA MSIBA LEO MKOANI MOROGORO,AFANDE AMEKUWA KAMA MWENYEJI KWA UPANDE WA WASANII WATAKAOFIKA MKOANI MOROGORO KWA AJILI YA KUMPUMZISHA NDUGU YETU THE LATE ALBERT MANGWAIR.
HALI ILIVYO NYUMBANI KWA KINA NGWAIR MOROGORO-KIHONDA.
DULLY SYKES"BABY DE ANTHONY" AKIWA TAYARI YUKO KIHONDA MOROGORO NA NDUGU WA MAREHEMU NGWAIR.

..

No comments: