QUEEN DARLIN,DIAMOND PLATNUMZ & SHILOLE.
DIAMOND PLATNUMZ AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU NGWAIR.
MWILI WA THE LATE ALBERT MANGWAIR UKIWA NDANI YA JENEZA-LEADERS CLUB.
BAADHI YA WASANII WAKIELEKEA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU.NGWAIR.
ABDALLAH AMBUA "DULLAH" MC WA TUKIO ZIMA.
HII NDIYO KAMATI INAYOSIMAMIA MSIBA KWA UJUMLA.
BAADHI YA WASANII WALIOFIKA LEADERS CLUB WAKIELEKEA KUAGA MWILI WA THE LATE ALBERT MANGWAIR.
ALI KIBA & ABDU KIBA-LEADERS CLUB.
MTITU & DUDE..
DIAMOND PLATNUMZ-LEADERS CLUB.
UMATI MKUBWA UMEJITOKEZA KUTOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO. LADY JAY DEE NA PROFF JIZE-LEADERS CLUB. BONGE LA NYAU,BEN KINYAIA NA BOB JUNIOR. GARI LILILOBEBA MWILI WA THE LATE A.MANGWAIR. |
Add caption |
HALI ILIVYOKUWA MPAKA ASUBUHI KABLA MWILI HAUJAFIKA LEADERS.
MWILI WA NGWAIR UKIWASILI LEADERS CLUB LEO ASUBUHI.
HII NDIYO VIDEO INAYOONYESHA TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA LEO LEADERS CLUB-KINONDONI DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment