Thursday, 6 June 2013

ANGALIA PICHA JINSI THE LATE ALBERT MANGWAIR ALIVYOPUMZISHWA KWENYE MAKAZI YAKE YA MILELE.

KABURI LIKIJENGEWA.
MWANADADA WA KIZUNGU AMBAYE INASEMEKANA ALIKUWA NDIYE MCHUMBA WA NGWAIR AKIWEKA SHADA LA MAUA KABURINI.
M2THA P.
AY MWENYE KOFIA-MAKABURINI KIHONDA.
AFANDE SELEMWENYE KOFIA.
MWILI WA ALBERT MANGWAIR UKIWA TAYARI UMESHAZIKWA.
OMMY DIMPOZ MWENYE MIWANI NA FID Q..
WAPENZI NA MASHABIKI WA ALBERT MANGWAIR.
MKUU WA MKOA WA MOROGORO BW,JOEL BENDERA MAKABURINI-KIHONDA.
WATU WALIPANDA KWENYE MITI ILI KUSHUHUDIA MAZISHI.
ZOLA D a.k.a UNDE AKIWEKA SHADA LA MAUA KABURINI.

MAMIA YA WAKAZI WA MOROGORO WAKIWA WAMEJUMUIKA MAKABURINI KUMZIKA THE LATE ALBERT MANGWAIR LEO JIONI.
MIRAJI KIKWETE NA WEMA SEPETU..
MWILI WA THE LATE ALBERT MANGWAIR UKISHUSHWA KABURINI.
.
DJ CHOKA,DANNY MSIMAMO & NIKKI MBISHI WAKIWA TAYARI KWA SAFARI YA KURUDI DAR ES SALAAM BAADA YA MAZISHI.
TARATIBU ZA KUZIKA ZIKIENDELEA.
HAIKUWA RAHISI KWA M2THA P KUJIZUIA KUUONA MWILI WA SWAHIBA WAKE UKIWA KATIKA HALI YA UMAUTI.

HAPA NDIYO ALIPOPUMZISHWA THE LATE ALBERT MANGWAIR,KIHONDA-MOROGORO.

UMATI WA MASHABIKI WA NGWAIR NA WAKAZI WA MKOA WA MOROGORO WAKIMSINDIKIZA THE LATE ALBERT MANGWAIR KWENYE MAKAZI YAKE YA MWISHO.

MWILI WA MAREHEMU UKIWA TAYARI UMEFIKISHWA MAKABURINI KIHONDA MISSION MOROGORO TAYARI KWA KUZIKWA.
ILI KUPATA PICHA NZURI YA MAZISHI YA THE LATE ALBERT MANGWAIR UNAWEZA KUANGALIA VIDEO YA MAZISHI HAPO CHINI:-

No comments: