|
MKUU WA MKOA WA RUKWA MAMA STARA MANYANYA AKIMFARIJI MALKIA WA TAARAB NCHINI BIBIE KHADIJA KOPA MUDA MFUPI BAADA YA KUPOKEA TAHARIFA YA MSIBA WA MUMEWE.
MKUU WA MKOA WA RUKWA PAMOJA NA WASAMARIA WENGINE WAKIMSINDIKIZA BIBIE KHADIJA KOPA AIRPORT KWA AJILI YA KUWAHI MSIBA WA MUMEWE.
KHADIJA KHOPA AKIWA UWANJA WA NDEGE RUKWA AKISUBIRI KUONDOKA KUWAHI MSIBA WA MUMEWE,BIBIE KHADIJA KOPA ALIKUWA MKOANI RUKWA KUTUMBUIZA KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI,SHEREHE ZILIZOFANYIKA KITAIFA WILAYA YA NAMANYERE-RUKWA. |
MUME WA MSANII NGULI WA TAARAB NCHINI BIBIE KHADIJA KOPA,BW JAFARY ALLY AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO NYUMBANI KWAKE BAGAMOYO-MKOA WA PWANI,TAHARIFA ZINADAI BW,JAFARY ALLY ALIKUWA AKIUGUA KWA MUDA MREFU SASA NA ALIKUWA CHINI YA UANGALIZI WA MKEWE KHADIJA KOPA,KUTOKANA NA UNAFUU ALIOUPATA BW JAFARY ULIMFANYA MKEWE KHADIJA KOPA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAKE ZA KIMUZIKI NA MPAKA BW JAFARY ALLY ANAPOTEZA MAISHA MKEWE KHADIJA KOPA ALIKUWA NJE YA JIJI KWA SHUGHULI ZA KIMUZIKI,PICHANI BW,JAFARY ALLY AKIWA NA MKEWE KHADIJA KOPA ENZI ZA UHAI WAKE.
WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA MAMA WA MAREHEMU-BAGAMOYO LEO.
No comments:
Post a Comment