Thursday, 6 June 2013

CLUB YA EM STEREO-KINONDONI DAR ES SALAAM YATEKETEA KWA MOTO.

BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA JINSI MOTO ULIVYOTEKETEZA CLUB YA EM STEREO ILIYOKO KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM,SABABU ZA MOTO HUO ZIMERIPOTIWA KUWA NI HITILAFU YA UMEME,KWA HARAKA HARAKA HASARA ILIYOSABABISHWA NA MOTO HUO BADO HAIJAWEKWA WAZI,ILA KIMTAZAMO MOTO HUO UMETEKETEZA KARIBU MALI NYINGI ZILIZOMO NDANI YA CLUB HIYO.

No comments: