Wednesday, 26 June 2013

HALI YA MZEE "MADIBA" BADO NI TATA WANAHABARI WAPIGA KAMBI HOSPITALI KUPATA KUFUATILIA HABARI KUHUSU HALI YAKE{SA}

PICHANI WANAHABARI WAKIWA WAMEWEKA KAMBI HOSPITALINI ALIKOLAZWA MANDELA.

KWA TAKRIBAN WIKI NZIMA SASA HALI YA MWANAHARAKATI MKONGWE NCHINI AFRICA YA KUSINI NELSON MANDELA IMEENDELEA KUZOROTA HII NI BAADA YA KURUHUSIWA WIKI KADHAA HOSPITALI ALIKOKUWA AKITIBIWA NCHINI AFRICA KATITA JIMBO LA SOWETO,SIKU YA JANA NDUGU NA WANAFAMILIA WA MZEE MADIBA WALIPATA NAFASI YA KUMTEMBELEA HOSPITALI JAPO HALI YAKE IKIWA NI MAHUTUTI,WAKIOMBA MUNGU JUU YA UHAI WA MKONGWE HUYU PAMOJA NA KURUSHA NDEGE AINA YA NJIWA KAMA ISHARA YA UJASIRI KWA MWANASIASA HUYU MKONGWE ALIYEONGOZA HARAKATI ZA KUDAI UHURU WA NCHI HIYO.
HAYA NI BAADHI YA MANENO ALIYOKUWA AKIYATUMIA MZEE MADIBA,KAMA DIRA NA MUONGOZO WAKE JUU YA KUKOMESHA UBAGUZI WA RANGI NCHINI AFRICA NA DUNIANI KWA UJUMLA,MUNGU MPE UHAFU MZEE MADIBA ILI TUENDELEE KUPATA HEKIMA ZAKE.

No comments: