KAZI IPO,NANI NI NANI,NA NANI ATAFUNIKA HIYO SIKU YA TAREHE 14 JUNE 2013,KATI YA THE "FINEST" SHOW YA MWANA FA ITAKAYOFANYIKA UKUMBI WA MAKUMBUSHO JIJINI NA SHOW YA MIAKA KUMI NA MITATU YA KIMUZIKI YAKE LADY JAY DEE"ANACONDA" SHOW ITAKAYOFANYIKA "NYUMBANI LOUNGE"KUMEKUWA NA VIJEMBE VYA CHINI CHINI KATI YA WASANII HAWA WAWILI KUPITIA MTANDAO WA TWEETER ,WASANII AMBAO MWANZO WALIKUWA NA UKARIBU WA HALI YA JUU KAMA KAKA NA DADA,NINI SOURCE YA HILI MIMI SIJUI ILA NAAMINI HAKUNA KISICHO NA CHANZO,NIMEKULETEA TWEETS ZAKE LADY JAY DEE"COMANDO"-"ANACONDA" HII NI WAKATI AKICHAT NA FANS WAKE KUHUSIANA NA SHOW HII INAYOSUBIRIWA KWA HAMU JIJINI DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment