Monday, 10 June 2013

H BABA & FLORA MVUNGI NDANI YA NDOA ,ANGALIA PICHA ZA HARUSI YAO.

PASHA,H BABA & FLORA MVUNGI PAMOJA NA WASTARA JUMA.
H BABA NA MKEWE FLORA MVUNGI MUDA MFUPI BAADA YA KUFUNGISHWA NDOA.

SIKU YA J/MOSI 08 JUNE ILIKUWA NI SIKU YA KUKUMBUKWA WASANII WAWILI WA TASNIA MBILI TOFAUTI BONGO,H BABA MKALI WA BONGO FLAVA NA MKEWE BIBIE FLORA MVUNGI MSANII WA FILAMU BONGO,HII NI BAADA YA KUUKACHA UKAPERA NA KUKUBALIANA KUFUNGA NDOA RASMI,NA KUINGIA KWENYE MAISHA YA MKE NA MUME,HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA HARUSI YAO.


No comments: