Saturday, 1 June 2013

"KUPA" HOI KITANDANI SIKU KADHAA BAADA YA NDOA YAKE.

MSANII WA MAIGIZO IDRISSA MAKUPA MAARUFU KAMA"KUPA" AMEPATWA NA MASWAHIBU YA KUGUNDULIKA NA TATIZO LA FIGO,SIKU KADHAA BAADA YA NDOA YAKE NA MKEWE ALIYEJULIKANA KWA JINA MOJA LA MARY,TAHARIFA TOKA KWA CHANZO CHA HABARI HII ZINASEMA TATIZO LA KUPA LILIANZIA SIKU CHACHE BAADA YA NDOA YAKE,HII NI BAADA YA KUJISIKIA MWILI WAKE HAUKO KATIKA HALI YA KAWAIDA NDIPO ALIPOKWENDA HOSPITALI YA TABATA GENERAL HOSPITALI KWA AJILI YA KUPIMA MALARIA,KWANI ALIHISI TATIZO LITAKUWA HILO,LAKINI TOFAUTI NA FIKRA ZAKE,VIPIMO HAVIKUONYESHA TATIZO KWA UPANDE WA GONJWA LA MALARIA,NA NDIPO DAKTARI ALIPOMFANYIA UCHUNGUZI WA KINA NA KUGUNDULIKA NA TATIZO HILO.
MSANII "KUPA" AKIWA KITANDANI HOSPITALINI TABATA GENERAL HOSPITAL..

No comments: