RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Saturday, 1 June 2013
QUICK ROCKA AONGELEA PROJECT YAKE NA NGWAIR.
NI KAZI ILIYOFANYWA AM RECORDS NA ILIKUWA IMESHAFIKIA ATUA YA VIDEO "NGWAIR"ALIKUWA ANASUBIRIWA ILI AINGIZE VIPANDE VYA SEHEMU ALIYOIMBA,HII NI BAADA YA NGWAIR KUHAIRISHA SAFARI YA KURUDI BONGO MARA KADHAA.
ANGALIA BAADHI YA VIPANDE KATIKA VIDEO HIYO HAPA,ILA VIPANDE VYOTE ANAYEONEKANA NI QUICK ROCKA SABABU NGWAIR ALIKUWA ANASUBIRIWA ARUDI TOKA{SA}ILI AINGIZE NA YEYE VIPANDE VYAKE VILIVYOBAKI.
No comments:
Post a Comment