MSANII MKONGWE NA MAHIRI KATIKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA BONGO FLAVA LADY JAY DEE a.k.a ANACONDA LEO ANATARAJIA KUZINDUA VIDEO YAKE MPYA KWA MARA YA KWANZA KATIKA UKUMBI UNAOMILIKIWA NA YEYE MWENYEWE "NYUMBANI LOUNGE" ,AKIELEZEA KUPITIA ACC YAKE YA FACEBOOK JIDE ANASEMA VIDEO YAKE HIYO MPYA INAJULIKANA KWA JINA LA YAHAYA,SINGLE ALIYODAI TOKA MWANZO KUWA NDIYO ITAFUATA BAADA YA JOTO HASIRA,UZINDUZI HUO WA AWALI UTAANZA RASMI SAA TATU USIKU,PIA KUTAKUWEPO NA TSHIRT ZA MSIMU WA PILI WA "ANACONDA"ZITAZOUZWA HAPO HAPO UKUMBINI KWA SHILINGI 15000/=KWA KILA MOJA,IKUMBUKWE HII NI RASHARASHA YA SHOW KUBWA YA KUTIMIZA MIAKA 13 YA SAFARI YA MUZIKI KWA MWANADADA HUYU,PIA SHOW HII YA LEO ITASINDIKIZWA NA MIXING KALI TOKA KWA DJ KIM,TOKA EA-TV & RADIO. |
No comments:
Post a Comment