Friday, 7 June 2013

K LYN AFUNGUKA SABABU ZA KUWA KIMYA KIMUZIKI.

JACKLINE NTUYABALIWE "KLYN" AKIWA NA MAPACHA WAKE.
KLYN KATIKA MUONEKANO WAKE WA SASA.
FORMER MISS TANZANIA,NA MSANII ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKO LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KWA UPANDE WA AKINA DADA JACKLINE NTUYABALIWE "KLYN"AMEFUNGUKA SABABU ZA YEYE KUWA KIMYA KIMUZIKI KUWA SIYO KWA SABABU YA YEYE KUWA KATIKA HALI YA KULEA,ILA NI UNYONYAJI ULIOKITHIRI KWA WANAOJIITA WADAU WA MUZIKI BONGO,"SIONI MAFANIKIO KWA KAZI YA MUZIKI TANZANIA ZAIDI NI UNYONYWAJI KWA WASANII,NIMEWAACHIA WALIOBAKI WAENDELEE KUPIGANA MIMI ACHA NI CONCETRATE NA FAMILIA YANGU KWANZA"ALIDAI KLYN,KWA HIVI SASA KLYN NI MAMA WA WATOTO WAWILI MAPACHA ALIOJIFUNGUA MAPEMA MWAKA HUU.PIA KLYN NI MMILIKI NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA AMORETTE LTD YA NCHINI TANZANIA.

No comments: