Thursday, 6 June 2013

M 2THA P AWASILI NCHINI KUMZIKA MWENZIE THE LATE ALBERT MANGWAIR LEO MKOANI MOROGORO.

YULE MSANII MGAZA PEMBE{M2THA P}ALIYEKUTWA NA MASWAHIBU YAKUPOTEZA FAHAMU NCHINI AFRICA YA KUSINI,AKIWA PAMOJA NA MSANII MWENZIE ALBERT MANGWAIR AMBAYE ALIPOTEZA MAISHA,LEO HII AMEINGIA JIJINI DAR ES SALAAM,AKITOKEA NCHINI AFRICA YA KUSINI,AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI MOROGORO KUMZIKA SWAHIBA WAKE ALBERT MANGWAIR ANAYEZIKWA MKOANI MOROGORO LEO.HII NI INTERVIEW YAKE AKIHOJIWA LEO ASUBUHI,MSIKILIZE MWENYEWE NI KIASI GANI AMEGUSWA NA KIFO CHA ALBERT MANGWAIR NA NINI ANACHOKIZUNGUMZIA KUHUSIANA NA KIFO HICHO HAPO CHINI:-

No comments: