Thursday, 6 June 2013

WATU WALIVYOMUAGA THE LATE ALBERT MANGWAIR MKOANI MOROGORO LEO.

MSANII M2THA P ALIYETOKEA NCHINI AFRICA YA KUSINI ASUBUHI YA LEO AKIWA NA DIDA MCHOPS NYUMBANI KWAKINA NGWAIR MUDA MFUPI KABLA YA KUELEKEA JAMHURI STADIUM KUUAGA MWILI WA NGWAIR.
M2THA P NA DIDA MCHOPS WA TIMES FM.
UMATI WA MASHABIKI WA NGWAIR NA WATANZANIA WAISHIO MOROGORO WAKIWA KATIKA FOLENI YA KUUAGA MWILI WA NGWAIR JAMHURI STADIUM.

ZOEZI LA KUUAGA MWILI WA THE LATE NGWAIR ZIKIWA ZIMEANZA RASMI HAPO.
MSANII MGAZA PEMBE "M2THA P"AKIWA NA MAJONZI MAKUBWA MARA BAADA YA KUUAGA MWILI WA THE LATE ALBERT MANGWAIR LEO MOROGORO.
MDADA ALIYEANGUKA MUDA MFUPI BAADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU.NGWAIR LEO JAMHURI STADIUM-MOROGORO.
M2THA P AKISAIDIWA MUDA WAKUUAGA MWILI WA NGWAIR LEO MKOANI MOROGORO.
MAMA YAKE THE LATE ALBERT MANGWAIR AKIWA NYUMBANI KIHONDA-MOROGORO KABLA HAJAPELEKWA UWANJA WA JAMHURI KUMUAGA MWANAE KWA SURA YA MWISHO KABLA YA MAZISHI
GARI LA MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA LIKIWA NYUMBANI KWAKINA NGWAIR-KIHONDA ALIPOKUJA KUTOA RAMBIRAMBI LEO ASUBUHI KABLA YA KWENDA KUUAGA MWILI UWANJA WA JAMHURI.
NYOMI LA HATARI NDANI YA JAMHURI STADIUM-MOROGORO.

No comments: