Tuesday, 4 June 2013

MAANDALIZI KWA AJILI YA KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR YAKAMILIKA.-TANZANIA.

LADY JAY DEE ,PROFF JIZZE,DJ CHOKA ,JAY MOE NA TID WAKIWA TAYARI KUELEKEA KIWANJA CHA NDEGE DAR ES SALAAM KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR MCHANA WA LEO.
GARI LINALOTEGEMEWA KUUBEBA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR LIKIWA TAYARI KWA KUUBEBA MWILI WA MAREHEMU TOKA KIWANJA CHA NDEGE DAR ES SALAAM AIRPORT MCHANA HUU.
GARI LILILOUBEBA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR AIRPORT YA JORBERG JANA USIKU TAYARI KABISA KWA KUSAFIRISHWA KULETWA NCHINI TANZANIA LEO MCHANA.
GARI LITAKALOUBEBA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR LIKIWA TAYARI LIMESHAANDALIWA KWA AJILI YA KUUBEBA MWILI WA MAREHEMU TOKA KIWANJA CHA NDEGE-DAR ES SALAAM{TERMINAL ONE}

No comments: