Tuesday, 4 June 2013

MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR WAPOKEWA NA MAELFU DAR ES SALAAM AIRPORT.

GARI ILIYOBEBA MWILI WA MAREHEMU IKIANZA SAFARI KUELEKEA MUHIMBILI HOSP KWA AJILI YA MWILI WA THE LATE ALBERT MANGWAIR KUHIFADHIWA..
MWILI WA THE LATE ALBERT MANGWAIR UKIPELEKWA KWENYE GARI MAALUM TAYARI KWA KUPELEKWA MORTUARY YA MUHIMBILI HOSPITAL JIJINI DAR ES SALAAM.
WAPENZI NA MASHABIKI WA MAREHEMU ALBERT WAKILISINDIKIZA GARI BARABARANI,HUKU WAKILAZIMISHA KIPENZI CHAO,HASUKUMWE NA WAO BILA GARI KUENDESHWA MPAKA HOSPITALI YA RUFAA MUHIMBILI,MWILI UTAPOIFADHIWA MPAKA KESHO,TAYARI KWA KUAGWA VIWANJA VYA LEADERS KINONDONI JIJINI.
PICHANI BAADHI YA WASANII WALIOJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU AIRPORT MCHANA HUU.
MWILI WA THE LATE ALBERT MANGWAIR UKIWA NDANI YA GARI MAALUM KUELEKEA HOSPITALI YA RUFAA MUHIMBILI KUHIFADHIWA HADI KESHO KWA AJILI YA WATANZANIA KUUAGA RASMI KWENYE VIWANJA VYA LEADERS KINONDONI NA HATIMAYE MAZISHI MKOANI MOROGORO..
PICHA KADHAA ZIKIONYESHA BONGE LA NYOMI LILILOJITOKEZA KUMPOKEA THE LATE ABERT MANGWAIR LEO MCHANA AIRPORT YA DAR ES SALAAM{TERMINAL ONE}


No comments: