Tuesday, 25 June 2013

PICHA ZA SEMINA YA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUONDOKANA NA NJAA NA UMASIKINI.

JIDE NA MAMA MKAPA.

MWENYEKITI WA MFUKO WA FURSA SAWA KWA WOTE MAMA ANNA MKAPA AKIFUNGUA SEMINA HIYO ILIYODUMU KWA TAKRIBAN SIKU TATU 25-27 JULY-2013.
WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH,ABDALLAH KIGODA AKIHUTUBIA WANASEMINA.
MJASIRIAMALI MWANAMKE KUPITIA SANAA YA MUZIKI LADY JAY DEE"THE ANACONDA"AKITUMBUIZA KWENYE SEMINA HIYO.


No comments: