PAUL JAMES"SWEA"MTANGAZAJI WA VIPINDI VYA POWER BREAKFAST{CLOUDS FM} NA SPORT EXTRA{CLOUDS TV}NAYE NI MMOJA KATI YA WALIOFUNGA NDOA MWISHO WA WIKI HII,AKIWA NA MKEWE.
PAUL JAMES"PJ"AKIMVISHA PETE YA NDOA MKEWE.
WASIWASI MWABULAMBO MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA JAHAZI CHA CLOUS FM AKIWA NA MKEWE JANETH,HARUSI YAO ILIFUNGWA KWENYE KANISA LA KILUTHERI-BOKO NA SHEREHE ILIYOFANYIKA MBEZI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment