KASHI AKIWA NA MSANII MWENZIE WA MAIGIZO STANLEY MSUNGU,ENZI ZA UHAI WAKE.
JAJI KHAMIS{KASHI} MSANII WA MAIGIZO NA FILAMU NCHINI TANZANIA,ALIYEWAHI KUTAMBA SANA SIKU ZA NYUMA,HASA KWENYE MICHEZO YA KUIGIZA ILIYOKUWA IKIRUSHWA NA KITUO CHA TV-{ITV}CHA JIJINI,IGIZO LILILOMPATIA UMAARUFU ZAIDI NI TAMU CHUNGU,KASHI AMEFARIKI LEO MCHANA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MUHIMBILI,HABARI ZILIZOTHIBITISHWA NA RAIS WA
SHIRIKISHO LA WASANII WA FILAMU NCHINI BW,MWAKIFAMBA,MUNGU AILAZE ROHO
YA MAREHEMU PEMA PEPONI AMEEN.
No comments:
Post a Comment