HII NI BAADA YA KUTOKA KWENYE MSIBA MZITO WA MWANA CHEMBA MWENZAKE ALBERT MANGWAIR SIKU CHACHE ZILIZOPITA,MSANII NOORAH AMEFUNGA NDOA SIKU YA J/MOSI MKOANI SHINYANGA,HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA HARUSI YAKE,KUANZIA SENDOFF MPAKA HARUSI YENYEWE AKIWA NA MKEWE.
|
BABA STYLE NA MPAMBE WAKE SIKU YA SENDOFF.
HONEYMOON....
|
No comments:
Post a Comment