Friday, 19 July 2013

MISS TANZANIA{2006}WEMA SEPETU APANDISHWA KIZIMBANI KAWE DISTR COURT KWA KOSA LA SHAMBULIO NA LUGHA YA MATUSI.

KATIKA WIKI KADHAA ZILIZOPITA ILIRIPOTIWA KESI KITUO CHA POLISI KAWE,KESI ILIYOKUWA IKIMUHUSISHA MISS TANZANIA{2006}NA MUIGIZAJI FILAMU TANZANIA BIBIE WEMA SEPETU,AKIMSHAMBULIA NA KUMTUSI,MENEJA WA HOTELI MOJA ILIYOPO MAENEO YA KAWE BEACH BW,GOODLUCK KAYUMBU,KESI ILIYORIPOTIWA KITUONI HAPO,NA WEMA KUPEWA TAHARIFA,AMBAPO ALIPUUZIA MPAKA JUZI POLISI WALIPOVAMIA NYUMBANI KWAKE KIJITONYAMA NA KUMKAMATA ,WAKATI AKIFUTURU NA BAADHI YA MARAFIKI NA NDUGU WA KARIBU.
NDIPO MSANII HUYU MAARUFU ALIPOKAMATWA SIKU YA J/NNE TAREHE 16th JULY 2013,NAKUFIKISHWA KITUONI POLISI KAWE,JAPO KWA MIKIKI SABABU WEMA AKUKUBALIANA NA AMRI ALIYOPEWA NA POLISI HAO YA KUPELEKWA KITUONI AKIWA NDANI YA DEFENDA,NA KUGOMA NDIPO ALIPORUHUSIWA KUPELEKWA KITUONI HAPO CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI AKIWA NDANI YA GARI YAKE AINA YA AUDI Q7,ALIPOFIKISHWA KITUONI NAKUANDIKA MAELEZO NA HATIMAYE KUSEKWA RUMANDE,HADI KUFIKIA SAA TANO ZA USIKU NDIPO DHAMANA YA MSANII HUYU MAARUFU TANZANIA ILIPOKUBALIWA KUPITIA MSANII NA RAFIKI YAKE WAKARIBU KAJALA MASANJA,
SIKU ILIYOFUATA YA TAREHE 17th JULY 2013,ILITAKIWA AJE KURIPOTI KITUONI HAPO,KAMA MASHARTI YA DHAMANA YALIVYOSEMA,NDIPO ALIPORIPOTI,ASUBUHI YA SIKU HIYO NA TARATIBU ZA KUPELEKWA MAHAKAMA KUSOMEWA SHTAKA ZILIPOFUATA,SAFARI YA KWENDA MAHAKAMANI ILIONEKANA KAMA NI YA KUMKOMOA PIA KWANI SAFARI ILIKUWA NI KWA MGUU,TOKA KITUONI KAWE POLISI MPAKA MAHAKAMA YA KAWE ,UMBALI WA MITA 200,NAKUSOMEWA SHTAKA,WEMA ALIKANA SHTAKA HILO NAKWAKUWA TAYARI ALISHADHAMINIWA,ALIONDOKA MAHAKAMANI HAPO MPAKA TAYARI NYINGINE KESI HIYO ITAKAPO TAJWA TENA.JULY 31-2013.
PICHA ZOTE ZIMEPIGWA MAHAKAMANI KAWE SIKU YA TAREHE 17th JULY 2013,SIKU WEMA SEPETU ALIPOPANDISHWA KIZIMBANI KWA MARA YA KWANZA MAHAKAMANI HAPO
.

No comments: