Mgombea
ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chadema, Saed Kubenea akionyesha baadhi
ya kadi 100 za kupigia kura ambazo hazina taarifa zilizodaiwa kukamatwa
hivi karibuni. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema
(Bawacha) ambaye pia ni mgombea wa Kawe, Halima Mdee. Wagombea hao
walidai kadi hizo ni mpango wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
kujiandaa kuisaidia CCM katika uchaguzi.
source: MCL
source: MCL

No comments:
Post a Comment