MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NA FILAMU TANZANIA "SNURA"AMEAMUA KUTOKA KIVYAKE BAADA YA KUAMUA KUWA NA MASTEJI SHOW MAPACHA,IKIWA NI MAPACHA WAWILI WA KIUME NA WAWILI WA KIKE,HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA SNURA NA MASTEJI SHOW WAKE HAO WANNE WAKIWA TANGA KWENYE SHOW YA WASHINDI WA KILLI MUSIC AWARDS-2013 JUZI.
No comments:
Post a Comment