Friday, 12 July 2013

VIMBWANGA VYA HUDDAH MONROE & DIVA KAMA KAWA MITANDAONI{YAANI NI TUPIA NA MIMI NITUPIE}

PICHA YA MWANADADA LOVENESS MALINZI "DIVA" AKIONYESHA TATOO YAKE MPYA ALIYOICHORA KIUNONI..
BAADA YA DIVA KUWEKA PICHA HIYO HAPO JUU MWANADADA HUDDAH MONROE NAYE AKATUPIA HII HAPA.
MARA AKATUPIA NA HII HAPA SASA DUH"HUDDAH"NOMA KWELI-MPAKA HIVI SASA DADA YETU AJAJIBU MAPIGO BADO,SIJUI NDO ANAJIPANGA NAYE,,,,NGOJA 2ONE.

No comments: