Thursday, 11 July 2013

YALIYOJIRI LEO KWENYE MSIBA WA MAMA MZAZI WA MSANII PROFFESOR JAY-MBEZI MWISHO JIJINI DAR ES SALAAM.

MH MBUNGE JOSEPH MBILINYI a.k.a MR II {SUGU}MSIBANI NYUMBANI KWA PROFFESOR JAY LEO MCHANA.
BABA MZAZI WA MSANII PROFFESOR JAY MZEE HAULE AKIWASILI MSIBANI NYUMBANI KWA MWANAE MBEZI MWISHO LEO.

MH,MBUNGE JOSEPH MBILINYI, MR-II SUGU AKIWASILI MSIBANI.
MSANII ROMA MKATOLIKI AKISAINI KITABU CHA RAMBI RAMBI
BABA MZAZI WA PROFF JAY MZEE HAULE AKIWASILI MSIBANI NYUMBANI KWA MWANAE MBEZI MWISHO JIJINI LEO.
.
MZEE HAULE BABA MZAZI WA MSANII PROFF JAY KATIKATI MWENYE SUTI NYEUSI.

No comments: